Course description

Tunaangazia chanzo, athari, suluhisho pamoja na mapendekezo kuhusu kuchelewa kuzalisha maziwa kwa akina mama waliojifungua kwa njia ya upasuaji na uzazi wa kwanza

What will i learn?

  • Kujifunza juu ya kuchelewa kwa uzalishaji wa maziwa
  • Kuelezea athari za ucheleweshaji wa maziwa ya kwanza
  • Kubainisha mikakati ya suluhuhisho ili kusaidia kuharakisha uzalishajiwa maziwa
  • Kutoa mapendekezo ya kisera na kitaalamu

Requirements

mofate account

TSh2000

TSh5000

Lectures

2

Skill level

Beginner

Expiry period

Lifetime

Related courses